Posts

Showing posts from January, 2020

SABABU ILIYOPELEKEA SPURS KUFUNGWA NA CHELSEA

Image
Ikumbukwe kwamba kocha wa Sasa wa spurs ya nchini uingereza katika ligi pedwa ya EPL,ndiye aliyemleta super Frank lampard katika ramani ya soka duniani Mkongwe huyo kutoka north London ambae aliletwa pale Stanford bridge akiwa bado mdgo kikiwa kikosi Bora Sana msimu wa mwaka 2004/2005 ambapo walifanikiwa kunyakuwa ndoo ya  EPL pia  amekipiga katika timu kubwa kabla ya kuwa kocha wa Chelsea, amekipiga katika timu ya Manchester city pia Wiki chache zilizopita walikutana wakongwe hao katika mwendelezo wa msimu huu wa EPL wakiwa wote no makocha wa timu mbili tofauti lakini Cha kushangaza mwanafunzi alifua dafu mbele ya mwalimu wake wa zamani Kwanini lampard alishinda mbele ya the special one Jose Mourinho ndio swali kubwa lililokuwepoo Kwanini????