SABABU ILIYOPELEKEA SPURS KUFUNGWA NA CHELSEA
Ikumbukwe kwamba kocha wa Sasa wa spurs ya nchini uingereza katika ligi pedwa ya EPL,ndiye aliyemleta super Frank lampard katika ramani ya soka duniani
Mkongwe huyo kutoka north London ambae aliletwa pale Stanford bridge akiwa bado mdgo kikiwa kikosi Bora Sana msimu wa mwaka 2004/2005 ambapo walifanikiwa kunyakuwa ndoo ya EPL pia amekipiga katika timu kubwa kabla ya kuwa kocha wa Chelsea, amekipiga katika timu ya Manchester city piaWiki chache zilizopita walikutana wakongwe hao katika mwendelezo wa msimu huu wa EPL wakiwa wote no makocha wa timu mbili tofauti lakini Cha kushangaza mwanafunzi alifua dafu mbele ya mwalimu wake wa zamani
Kwanini lampard alishinda mbele ya the special one Jose Mourinho ndio swali kubwa lililokuwepoo
Kwanini????

Comments
Post a Comment